"JUX KANIWEZA" - VANESSA MDEE


"JUX KANIWEZA" - VANESSA MDEE



Vanessa Mdee amehojiwa na AyoTV baada ya kushuka kwenye stage ya FIESTA Dar es salaam ambako ilionekana kama amekubali ombi la msamaha kutoka kwa Jux ili warudiane, ikoje hii?

source

Comments