Vee Money, Jux Uso kwa Uso Nyuma ya Jukwaa la Fiesta Arusha, Hatariii!
Vee Money, Jux Uso kwa Uso Nyuma ya Jukwaa la Fiesta Arusha, Hatariii!
SUBSCRIBE NOW http://www.youtube.com/c/uwazi1
WASANII wa Bongo Fleva ambao pia wamekuwa wapenzi kwenye mahusiano yao kwa miaka kadhaa huku wakidai kuachana hivi karibuni, Juma Jux na Vanesa Mdee ‘Vee-Money’ juzi walikutana pamoja kwenye Jukwaa la Shoo ya Fiesta iliyofanyika mkoani Arusha.
Baada ya kushuka jukwaani, Jux na Vee Money kila mmoja alikuwa alikuwa na haya ya kusema.
Subscribe,...
source
Comments
Post a Comment